Tuesday, 16 February 2021

TENGENEZA NA KUUZA GRAPHICS—kwa smartphone [WhatsApp]

 


Tunatumia kikundi chetu cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing] kukuelekeza maarifa haya kwa urahisi (voice notes, picha za hatua zote, jumbe za moja kwa moja na kujibu maswali yako yote). Pia tumerekodi audio za vipengele vyote. Kama unapenda kuwa na muda fulani wa kujisomea, utapewa pia kitabu cha PDF chenye maelekezo yote muhimu.

Bei punguzo ya sasa ni Tsh 3,000 badala ya Tsh 5,000/-.

_______________

YALIYOMO KWENYE DARASA/ MAFUNZO HAYA:

1. Njia na App rahisi ya kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu.

2. Jinsi ya kutumia blogu rahisi ya bure kutangazia Graphics zako.

3. Jinsi unavyoweza kutumia WhatsApp, kupata wateja wengi wa graphics zako.

4. Unawezaje kuwahudumia wateja walio mbali, wanapohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?

_______________

Je, unahitaji kuanza program hii leo? Tuma ujumbe 'Graphics 88' kwenda namba 0743517138 au tumia namba hiyo pia WhatsApp, kutoa taarifa hiyo.

____________________




No comments:

Post a Comment

UNAVYOWEZA KUTENGENEZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE.

N i furaha tena, kwa wale wote tunaotaka kuanza au kuendelea kuingiza sehemu ya kipato kwa kubuni na kutengeneza graphics nzuri, kwa ajili y...