Tuesday, 16 February 2021

SIMPLIFIED GRAPHIC DESIGNING—online.

 

Rafiki unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangazia mtandaoni, picha za logo rahisi, makava ya vitabu, kalenda na zile tulizoziweka kurasa za mwisho kwenye dokumenti yetu ya bure, PDF ya utangulizi kuhusu maarifa haya)?. Graphics hizi ni nzuri na rahisi kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni—hasa hasa wale waliopo WhatsApp. Mteja anazipata kwa urahisi kwa kutumiwa fomati ya kielektroniki ( softcopy) ya PDF au picha ya Graphic yake—kwa WhatsApp au e-mail.

_________________

—$—Tunakuelekeza namna ya kuanza kutumia App moja nzuri na rahisi sana katika kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa tata ya programu kubwa. Ni maelekezo ambayo ukiyapata, utaweza kutumia simujanja (Smartphone) yako, hususan zile zinazotumia mfumo wa utendaji wa Android ™ , kutengeneza graphics nzuri ndani ya muda mfupi.

_______________

—$—Wahitaji wa graphics ni wengi sana,  utaweza kuwatengenezea na kuwatumia katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kwa Whatsapp na baruapepe (e-mail) zikiwa kama picha au PDF [wanaohitaji kuzichapa (print)] kwenye makaratasi kule waliko.

Wateja wako wanakulipa kwa mobile money [kama M-pesa , HalopesaTigo PesaAirtel Money n.k] au kupitia link za kupokelea malipo Mtandaoni, ikiwa utaanza kupata wateja waliopo nchi nyingine za nje.

______________

—$—Utajitangaza kwa urahisi zaidi kupitia Whatsapp na kwa kufungua blogu ndogo, ya gredi ya bure, kwa urahisi [kwa maelekezo rahisi pia utakayoyapata] ili kupakia (Upload) sampuli kadhaa za Graphics zako kwenye posti fupi fupi na rahisi, zionekane kwa watu wengi mtandaoni.

—Tunazo audio nne, fupi fupi zilizo katika fomati ya mp3, ambazo ni rahisi sana kuzielewa unapozisikiliza, zinazokupa maarifa na hatua zote muhimu —kwa undani. Lakini pia ipo link kwa ajili ya kuipakua na ku-install App tunayoitumia, itakayokusaidia kuanza ku-dizaini Graphics nzuri kwa urahisi na kuziuza mtandaoni [kwa maelekezo zaidi utakayozidi kuyapata]. Na ikiwa unapenda kuwa na muda fulani wa kujisomea utapewa na kitabu kidogo cha PDF (kurasa 31 tu).

___________

Kwa kipindi hiki, maarifa haya yanapatikana kwa kiasi kidogo cha Tsh 3,000 badala ya Tsh 5,000 (ofa ya muda mfupi). Baada tu ya kulipia kiasi hicho na kutumiwa audio na link hiyo, utaunganishwa pia kwenye kikundi chetu cha WhatsApp cha 'Online—Simplified Graphic Designing', mahali pa maelekezo ya moja kwa moja na ndipo unapoweza kuuliza maswali yako yote, baada ya kusikiliza audio hizo na kuanza kuitumia App hiyo.

Ikiwa unahitaji kupata maarifa haya kuanzia leo, njoo inbox (0743517138) upewe dokumenti ya utangulizi na maelekezo muhimu

_________




No comments:

Post a Comment

UNAVYOWEZA KUTENGENEZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE.

N i furaha tena, kwa wale wote tunaotaka kuanza au kuendelea kuingiza sehemu ya kipato kwa kubuni na kutengeneza graphics nzuri, kwa ajili y...