Bei ya sasa ni Tsh 5,000/-
_______________
YALIYOMO KWENYE DARASA/ MAFUNZO HAYA:
1. Njia na App rahisi ya kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu.
2. Jinsi ya kutumia blogu rahisi ya bure kutangazia Graphics zako.
3. Jinsi unavyoweza kutumia WhatsApp, kupata wateja wengi wa graphics zako.
4. Unawezaje kuwahudumia wateja walio mbali, wanapohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
_______________
Je, unahitaji kuanza program hii leo? Tuma ujumbe 'Graphics 88' kwenda namba 0743517138 au tumia namba hiyo pia WhatsApp, kutoa taarifa hiyo.
____________________
Rafiki unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangazia mtandaoni, picha za logo rahisi, makava ya vitabu, kalenda na zile tulizoziweka kurasa za mwisho kwenye dokumenti yetu ya bure, PDF ya utangulizi kuhusu maarifa haya)?. Graphics hizi ni nzuri na rahisi kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni—hasa hasa wale waliopo WhatsApp. Mteja anazipata kwa urahisi kwa kutumiwa fomati ya kielektroniki ( softcopy) ya PDF au picha ya Graphic yake—kwa WhatsApp au e-mail.
_________________
★—$—Tunakuelekeza namna ya kuanza kutumia App moja nzuri na rahisi sana katika kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa tata ya programu kubwa. Ni maelekezo ambayo ukiyapata, utaweza kutumia simujanja (Smartphone) yako, hususan zile simu zinazotumia mfumo wa utendaji wa Android ™ , kutengeneza graphics nzuri ndani ya muda mfupi._______________
★—$—Wahitaji wa graphics ni wengi sana,utaweza kuwatengenezea na kuwatumia katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kwa Whatsapp na baruapepe (e-mail) zikiwa kama picha au PDF [wanaohitaji kuzichapa (print)] kwenye makaratasi kule waliko.Wateja wako wanakulipa kwa mobile money [kama M-pesa , Halopesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k] au kwa kupitia link za kupokelea malipo Mtandaoni, ikiwa utaanza kupata wateja waliopo nchi nyingine za nje.
______________
★—$—Utajitangaza kwa urahisi zaidi kupitia Whatsapp na kwa kufungua blogu ndogo, ya gredi ya bure, kwa urahisi [kwa maelekezo rahisi pia utakayoyapata] ili kupakia (Upload) sampuli kadhaa za Graphics zako kwenye posti fupi fupi na rahisi, zionekane kwa watu wengi mtandaoni.___________
Baada tu ya kulipia kiasi hicho (Tsh 5,000) na kutumiwa audio na link hiyo, utaunganishwa pia kwenye kikundi chetu cha WhatsApp cha 'Online—Simplified Graphic Designing', mahali pa maelekezo ya moja kwa moja na ndipo unapoweza kuuliza maswali yako yote, baada ya kusikiliza audio hizo na kuanza kuitumia App hiyo.
No comments:
Post a Comment