Thursday, 13 May 2021

UNAVYOWEZA KUTENGENEZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE.

N
i furaha tena, kwa wale wote tunaotaka kuanza au kuendelea kuingiza sehemu ya kipato kwa kubuni na kutengeneza graphics nzuri, kwa ajili ya wahitaji waliopo WhatsApp.
_____________
Ikiwa bado hauna jambo unalofanya mtandaoni au unalo na unatamani pia kuongeza lingine, hasa hasa kupitia WhatsApp, linaloweza kukuingizia sehemu nzuri ya kipato chako; maarifa ya programu hii (UBUNIFU WA GRAPHIC NZURI KWA SMARTPHONE) yanakupa mwanzo na mwendelezo mzuri wa kufanya jambo hilo.

Utaweza kufanya ubunifu na uuzaji wa graphics kama vile: posters, flyers, business card, kalenda, makava rahisi ya vitabu na nyingine nyingi—kwa kutumia smartphone na kuwahudumia wahitaji (wateja) wake wanaopatikana WhatsApp. Graphics zinahitajika sana, na watu wengi waliopo WhatsApp ni wahitaji wa graphics. 

Jambo zuri sana katika kutengeneza na kuuza graphics kwa namna hiyo ni kwamba: wateja wanatuma maelekezo yao, kwa WhatsApp au jumbe na mawasiliano ya kawaida. Baada ya kutengeneza graphic za wateja wako, unawatumia kwa WhatsApp au baruapepe (e-mail); wakiwa kule waliko, halafu wao wanakulipa kwa mobile money kama: M-pesaHalopesaTigo pesaAirtel MoneyTTCL pesa na nyingine. 
Kwa mfano, kuna mteja anahitaji umtengenezee kalenda ya mwaka 2021, kwa kuweka picha zake. Hii ina inafanikishwa kwa urahisi huu: yeye anatuma picha zake [anazotaka ziwepo kwenye kalenda]. Anazituma kwa e-mail au WhatsApp. Baada tu ya wewe kuzipokea, unamtengenezea na kumtumia kalenda yake; ikiwa katika fomati ya PDF au picha origino (original) ya fomati ya JPG. Mteja wako atai-print kalenda yake, kule kule aliko—mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery/studio ya picha). Atakulipa kwa mobile money, au njia nyingine za kupokelea malipo mtandaoni. Huu ni mfano mojawapo mdogo, katika kufanya mambo mbalimbali; baada ya kupata maarifa ya programu hii.
BEI YETU YA KUJIFUNZA MAARIFA HAYA:

Tsh 3,500: Kitabu (PDF), Audio zote na mwongozo wa kupata link ya App inayofaa.

Tsh 5,000: Kitabu (PDF), Audio za vipengele vyote, link ya App na kuwepo kwenye kikundi cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing], bila ukomo wa muda.
————————
Kuna dokumenti yetu (PDF) fupi, ya ufafanuzi wa utangulizi, inapatikana BURE kwa WhatsApp; kwa kuipakua HAPA [Download.pdf].Inakupa maelekezo muhimu (ya utangulizi) kuhusu programu hii. karibu sana. Uwe huru pia kuuliza lolote (0743 517 138) kuhusu programu hii.
___________________

Wednesday, 24 February 2021

SIMPLIFIED GRAPHIC DESIGNING—online.

Tunatumia kikundi chetu cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing] kukuelekeza maarifa haya kwa urahisi (voice notes, picha za hatua zote, jumbe za moja kwa moja na kujibu maswali yako yote). Pia tumerekodi audio za vipengele vyote. Kama unapenda pia kuwa na muda fulani wa kujisomea, utapewa pia kitabu cha PDF chenye maelekezo yote muhimu.

Bei ya sasa ni Tsh 5,000/-

_______________

YALIYOMO KWENYE DARASA/ MAFUNZO HAYA:

1. Njia na App rahisi ya kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu.

2. Jinsi ya kutumia blogu rahisi ya bure kutangazia Graphics zako.

3. Jinsi unavyoweza kutumia WhatsApp, kupata wateja wengi wa graphics zako.

4. Unawezaje kuwahudumia wateja walio mbali, wanapohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?

_______________

Je, unahitaji kuanza program hii leo? Tuma ujumbe 'Graphics 88' kwenda namba 0743517138 au tumia namba hiyo pia WhatsApp, kutoa taarifa hiyo.

____________________

UTANGULIZI

Rafiki unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangazia mtandaoni, picha za logo rahisi, makava ya vitabu, kalenda na zile tulizoziweka kurasa za mwisho kwenye dokumenti yetu ya bure, PDF ya utangulizi kuhusu maarifa haya)?. Graphics hizi ni nzuri na rahisi kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni—hasa hasa wale waliopo WhatsApp. Mteja anazipata kwa urahisi kwa kutumiwa fomati ya kielektroniki ( softcopy) ya PDF au picha ya Graphic yake—kwa WhatsApp au e-mail.

_________________

★—$—Tunakuelekeza namna ya kuanza kutumia App moja nzuri na rahisi sana katika kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa tata ya programu kubwa. Ni maelekezo ambayo ukiyapata, utaweza kutumia simujanja (Smartphone) yako, hususan zile simu zinazotumia mfumo wa utendaji wa Android ™ , kutengeneza graphics nzuri ndani ya muda mfupi.

_______________

★—$—Wahitaji wa graphics ni wengi sana,utaweza kuwatengenezea na kuwatumia katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kwa Whatsapp na baruapepe (e-mail) zikiwa kama picha au PDF [wanaohitaji kuzichapa (print)] kwenye makaratasi kule waliko.

Wateja wako wanakulipa kwa mobile money [kama M-pesa , HalopesaTigo PesaAirtel Money n.k] au kwa kupitia link za kupokelea malipo Mtandaoni, ikiwa utaanza kupata wateja waliopo nchi nyingine za nje.

______________

★—$—Utajitangaza kwa urahisi zaidi kupitia Whatsapp na kwa kufungua blogu ndogo, ya gredi ya bure, kwa urahisi [kwa maelekezo rahisi pia utakayoyapata] ili kupakia (Upload) sampuli kadhaa za Graphics zako kwenye posti fupi fupi na rahisi, zionekane kwa watu wengi mtandaoni.
★—Tunazo audio nne, fupi fupi zilizo katika fomati ya mp3, ambazo ni rahisi sana kuzielewa unapozisikiliza, zinazokupa maarifa na hatua zote muhimu —kwa undani. Lakini pia ipo link kwa ajili ya kuipakua na ku-install App tunayoitumia, itakayokusaidia kuanza ku-dizaini Graphics nzuri kwa urahisi na kuziuza mtandaoni [kwa maelekezo zaidi utakayozidi kuyapata]. Na ikiwa unapenda kuwa na muda fulani wa kujisomea utapewa na kitabu kidogo cha PDF (kurasa 31 tu).

___________

Baada tu ya kulipia kiasi hicho (Tsh 5,000) na kutumiwa audio na link hiyo, utaunganishwa pia kwenye kikundi chetu cha WhatsApp cha 'Online—Simplified Graphic Designing', mahali pa maelekezo ya moja kwa moja na ndipo unapoweza kuuliza maswali yako yote, baada ya kusikiliza audio hizo na kuanza kuitumia App hiyo.
Ikiwa unahitaji kupata maarifa haya kuanzia leo, njoo inbox (0743517138) upewe dokumenti ya utangulizi na maelekezo muhimu.

_________

TENGENEZA NA KUUZA GRAPHICS—kwa kutumia smartphone [WhatsApp].

Tunatumia kikundi chetu cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing] kukuelekeza maarifa haya kwa urahisi (voice notes, picha za hatua zote, jumbe za moja kwa moja na kujibu maswali yako yote). Pia tumerekodi audio za vipengele vyote. Kama unapenda kuwa na muda fulani wa kujisomea, utapewa pia kitabu cha PDF chenye maelekezo yote muhimu.

Tuesday, 16 February 2021

TENGENEZA NA KUUZA GRAPHICS—kwa smartphone [WhatsApp]

Tunatumia kikundi chetu cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing] kukuelekeza maarifa haya kwa urahisi (voice notes, picha za hatua zote, jumbe za moja kwa moja na kujibu maswali yako yote). Pia tumerekodi audio za vipengele vyote. Kama unapenda kuwa na muda fulani wa kujisomea, utapewa pia kitabu cha PDF chenye maelekezo yote muhimu.

Bei punguzo ya sasa ni Tsh 3,000 badala ya Tsh 5,000/-.

_______________

YALIYOMO KWENYE DARASA/ MAFUNZO HAYA:

1. Njia na App rahisi ya kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu.

2. Jinsi ya kutumia blogu rahisi ya bure kutangazia Graphics zako.

3. Jinsi unavyoweza kutumia WhatsApp, kupata wateja wengi wa graphics zako.

4. Unawezaje kuwahudumia wateja walio mbali, wanapohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?

_______________

Je, unahitaji kuanza program hii leo? Tuma ujumbe 'Graphics 88' kwenda namba 0743517138 au tumia namba hiyo pia WhatsApp, kutoa taarifa hiyo.

____________________

SIMPLIFIED GRAPHIC DESIGNING—online.

Rafiki unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangazia mtandaoni, picha za logo rahisi, makava ya vitabu, kalenda na zile tulizoziweka kurasa za mwisho kwenye dokumenti yetu ya bure, PDF ya utangulizi kuhusu maarifa haya)?. Graphics hizi ni nzuri na rahisi kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni—hasa hasa wale waliopo WhatsApp. Mteja anazipata kwa urahisi kwa kutumiwa fomati ya kielektroniki ( softcopy) ya PDF au picha ya Graphic yake—kwa WhatsApp au e-mail.

_________________

—$—Tunakuelekeza namna ya kuanza kutumia App moja nzuri na rahisi sana katika kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa tata ya programu kubwa. Ni maelekezo ambayo ukiyapata, utaweza kutumia simujanja (Smartphone) yako, hususan zile zinazotumia mfumo wa utendaji wa Android ™ , kutengeneza graphics nzuri ndani ya muda mfupi.

_______________

—$—Wahitaji wa graphics ni wengi sana,  utaweza kuwatengenezea na kuwatumia katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kwa Whatsapp na baruapepe (e-mail) zikiwa kama picha au PDF [wanaohitaji kuzichapa (print)] kwenye makaratasi kule waliko.

Wateja wako wanakulipa kwa mobile money [kama M-pesa , HalopesaTigo PesaAirtel Money n.k] au kupitia link za kupokelea malipo Mtandaoni, ikiwa utaanza kupata wateja waliopo nchi nyingine za nje.

______________

—$—Utajitangaza kwa urahisi zaidi kupitia Whatsapp na kwa kufungua blogu ndogo, ya gredi ya bure, kwa urahisi [kwa maelekezo rahisi pia utakayoyapata] ili kupakia (Upload) sampuli kadhaa za Graphics zako kwenye posti fupi fupi na rahisi, zionekane kwa watu wengi mtandaoni.

—Tunazo audio nne, fupi fupi zilizo katika fomati ya mp3, ambazo ni rahisi sana kuzielewa unapozisikiliza, zinazokupa maarifa na hatua zote muhimu —kwa undani. Lakini pia ipo link kwa ajili ya kuipakua na ku-install App tunayoitumia, itakayokusaidia kuanza ku-dizaini Graphics nzuri kwa urahisi na kuziuza mtandaoni [kwa maelekezo zaidi utakayozidi kuyapata]. Na ikiwa unapenda kuwa na muda fulani wa kujisomea utapewa na kitabu kidogo cha PDF (kurasa 31 tu).

___________

Kwa kipindi hiki, maarifa haya yanapatikana kwa kiasi kidogo cha Tsh 3,000 badala ya Tsh 5,000 (ofa ya muda mfupi). Baada tu ya kulipia kiasi hicho na kutumiwa audio na link hiyo, utaunganishwa pia kwenye kikundi chetu cha WhatsApp cha 'Online—Simplified Graphic Designing', mahali pa maelekezo ya moja kwa moja na ndipo unapoweza kuuliza maswali yako yote, baada ya kusikiliza audio hizo na kuanza kuitumia App hiyo.

Ikiwa unahitaji kupata maarifa haya kuanzia leo, njoo inbox (0743517138) upewe dokumenti ya utangulizi na maelekezo muhimu

_________

UNAVYOWEZA KUTENGENEZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE.

N i furaha tena, kwa wale wote tunaotaka kuanza au kuendelea kuingiza sehemu ya kipato kwa kubuni na kutengeneza graphics nzuri, kwa ajili y...